Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatari...
 
Hata Mugabe akienda hakuna lolote litakalobadilika. Arab Spring watu walipoteza maisha leo hali ni mbaya zaidi kuliko pale mwanzoni. Na cha ajabu zaidi demokrasia yenyewe kama mfumo inalegalega duniani kote kuanzia Marekani, Ulaya na kwingineko...
Nadhan akiondoka vikwazo vingi vitaondolewa dhidi ya zimbabwe na kupanda kwa thaman ya pesa. Mugabe hajaifanyia mema nchi yake kwa siku za hivi karibun bora gadaff kuliko mugabe
 
1.Kuweka katika uwiano mzuri kiwango cha maji
Figo ina uwezo wa kusawazisha kiwango cha maji katika mwili wa binadamu,na pia inashiriki katika kutoa kemikali kwa njia ya mkojo
 
Na hapa siyo material things. Hata tabasamu tu na maneno ya kutia moyo yanatosha. Mungu Atusaidie tukawe na ujasiri wa moyo na roho kusaidia wenzetu hasa wale ambao hatutegemei cho chote kutoka kwao. Hapo ndipo upendo wetu wa kweli huchanuza zaidi na ridhiko la kweli hutufikia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…