kuelemishana na kuendelezana. Sidhani ulimwengu ulivyo leo mtu yeyote anaweza kutenda jambo akasema hataki kujuana na wenzake wa mataifa ya mbali. Kwa vipi? Tutazame mifano miwili.
Niliwahi kumsikia manju maarufu wa Kighana, Mzee Mustafa Tete Addy, akizungumza katika mahojiano akaulizwa je hachukii kuwaona weupe wanaiga ngoma zake na kuzifanyia biashara?
Yeah! It was a lot of work. Boring days and sleepless nights of posting numbers, spoilers, pictures.... I think he should go for 1 million likes. By June 2018 he will be there.