Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii kitu imeniudhi na kunisikitisha sana. Wahusika wote wachukuliwe hatua kali sana ikiwemo muuaji/wauaji na wote walioamua kumzika bila kuwataarifu wazazi wa mtoto.
Kabisa bila kujali pesa walizonazo au uhusia o na vigogo wenye share shuleni hapo. Uahi umepotea nguvu kazi taifa la kesho. Kuna watu makatili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…