Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio maana tunasema Nyerere alikuwa na vision sana aliamua kuachia madaraka mapema kabisa akabaki na heshima kubwa sana
Pale alipokoswa koswa kuondoshwa na wale wenye vyeo vya kuanzia luteni na kepteni 1983, akosoma alama za nyakati na kujiweka kando kulinda heshima yake. Huyu rafiki yake bado anazitamani korido za ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…