Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shimba naomba ruhusa niibe nikaanzishe thread ya hili jiko bora kabisa
Jisikie huru. Mchina huyu. Ni mashine nzuri kwa kufanyia biashara ya kuchomea mahindi.Shimba naomba ruhusa niibe nikaanzishe thread ya hili jiko bora kabisa
Shukran sana nimeicopy na sms yako hahaJisikie huru. Mchina huyu. Ni mashine nzuri kwa kufanyia biashara ya kuchomea mahindi.
Sijabahatika kuiona ila nimeona uzi kule watu wanalalamika iko page ya nani nikaitafute?Umeiona video ya mtoto miaka mitatu hivi anakatika mambo aliyoyaona kwa wazazi usiku?
Yaani mimi ni mvivu ila wewe naona umenishinda khaa![emoji23] [emoji23] [emoji23]