Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya mambo ni magumu sana. Tuulize sisi yaliyotukuta na tuliyopitia. Nyie mabinti wadogo mnaoyaanza mpaka nawaonea huruma sometimes. Mungu na Awasaidie tu kwa kweli hasa kwa hiki kizazi chenu hiki...
Mwaga busara hizo shem
Ila mh!haya maneno yananifanya niwaze sana[emoji144] [emoji144]
 
Mwaga busara hizo shem
Ila mh!haya maneno yananifanya niwaze sana[emoji144] [emoji144]
Yote ni kumwachia Mungu tu. Hakuna namna nyingine. It becomes easier that way. Ni kujifunza na kusonga mbele. Natamani siku moja niandike kijitabu nije nikuuzie nipige hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shemejiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]uniuzie tena?si unipe tu nisome bure jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…