Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani haya maisha haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui hata wanaume huwa mnawaza nini yaani
Wanasaikolojia na watu wa Evolutionary Biology wanasema kuwa (si binadamu pekee bali wanyama wote) lengo letu kuu ni kuhakikisha kuwa tunasambaza DNA zetu kwa wingi iwezekanavyo ili kuhakikisha kuwa species zetu zinaendelea tena zikiwa na DNA diversity ya kutosha. Ndiyo maana wanyama ambao ni monogamous kabisa kabisa ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…