Hawa wangeachwa wapumzike, firauni ( pharaoh) anatosha kuwa mfanoTunakumbushana tu. Pamoja na uzuri, usomi, utajiri na ujanja wetu wote, siku moja wote tutakuwa hivi. Ni hilo tu wapendwa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Maisha ya mjini hayo dada, chumba kimoja na watoto humo humo [emoji23] [emoji23]Sijabahatika kuiona ila nimeona uzi kule watu wanalalamika iko page ya nani nikaitafute?
[emoji117] [emoji117] [emoji117] sema wazazi ifike kipindi wawe makin mtoto wa miaka mitatu si wakulala naye chumba kimoja mwisho wa siku watoto wanaharibika kama hivyo.
Poa poa mkuu, niaje, kwema?Za jioni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii ule mlegeo nimeukemea ukashindwa kabisa halafu ka yego kenyewe hakana helaShemeji yaani kama nakuona ulivyolegea. Yego leo sasa Ushindwe mwenyewe. Mi simo sasa usije ukanilaumu tena eti nimekiharibia. Byeee [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Uuuwiii jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Umefufuka?[emoji15] [emoji15] [emoji15]Borussia Dortmund 1 - 2 Tottenham
Umeona mpira vizuri boss wangu
Pimbi unazingua mbayacarbamazepine siku mingi pimbi wangu nimekumiss nimekuja kukusalimu
Nilikuwekea makusudi. Bado nakumbuka ile "I sarenda"....Maajabu ya dunia!!!Uuuwiii jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Macho sasa[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Andjul ndiyo kielelezo chako cha uungwana?Uzi uliojaa uungwana toka waungwana wakiongozwa na Andjul[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
Wamepumzika mbona? Samahani kama ni kinyume na imani yako. Ni mafuvu ya mauaji ya halaiki huko Rwanda. Wameyahifadhi waziwazi kama ukumbusho na maonyo kwa vizazi vijavyo ili visije vikarudia makosa ya kuendekeza chuki za kikabila, kikanda, kijamii na kitabaka.Hawa wangeachwa wapumzike, firauni ( pharaoh) anatosha kuwa mfano
Huyu dogo ashindwe na alegee !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii ule mlegeo nimeukemea ukashindwa kabisa halafu ka yego kenyewe hakana hela
Ila hapa tu ndo umeharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 635396
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu mimi nilishasahau ujueNilikuwekea makusudi. Bado nakumbuka ile "I sarenda"....Maajabu ya dunia!!!
Ameshashindwa tayari[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dogo ashindwe na alegee !!!
Andjul ni bonge la muungwana, aigwe kwa uungwana alionao, jaribu kumuacha home kwako mbagala kisha mwenyewe fanya safari ya koromije uone atakavyo linda zizi lako[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3]Andjul ndiyo kielelezo chako cha uungwana?
Thubutu! Nimwache Jakitoo na Andjul kwa wiki moja. Mbagala. Peke yao. Nisafiri kwenda Mwanza. Nimerogwaaaaa !!!Andjul ni bonge la muungwana, aigwe kwa uungwana alionao, jaribu kumuacha home kwako mbagala kisha mwenyewe fanya safari ya koromije uone atakavyo linda zizi lako[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3]