Nimeona ni idadi kubwa ya wahitaji wa matibabu ya kwenye meli,watafanikiwa kusikilizwa wote kweli?Grace Masanja, mkazi wa Temeke ambaye alilazwa ICU jana kwa ajili ya upasuaji wa jicho usiku wa kuamkia leo amesema anashukuru ujio wa meli hiyo kwani ataweza kupata matibabu bila malipo.
Nzuri kabisa mpendwa... za siku nyingi?Salama mamaangu,habari yako mpendwa
Mungu ni mwema.Nzuri kabisa mpendwa... za siku nyingi?
Wachina wanaweza wahudumia wote tatizo lipo kwa wasimamizi wa hizo kadi za matibabu wanawapa vipaumbele ndugu zao hata wanaoumwa machacha wakisahau kuna watu baki wana magonjwa makubwa yanayohitaji tiba ya uhakika huku uwezo wa kipesa hawanaNimeona ni idadi kubwa ya wahitaji wa matibabu ya kwenye meli,watafanikiwa kusikilizwa wote kweli?
Huku kwema kabisa mpendwa Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu ni mwema.
Habari ya huko pwani mama
Hakika. Wapo wengine wanataka kupiga picha tu akiwa kwenye meli ili anyanyasie Instagram.Wachina wanaweza wahudumia wote tatizo lipo kwa wasimamizi wa hizo kadi za matibabu wanawapa vipaumbele ndugu zao hata wanaoumwa machacha wakisahau kuna watu baki wana magonjwa makubwa yanayohitaji tiba ya uhakika huku uwezo wa kipesa hawana
Amen.Huku kwema kabisa mpendwa Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ndo waafrika tulivyo. Natumain wenye shida watakumbukwaHakika. Wapo wengine wanataka kupiga picha tu akiwa kwenye meli ili anyanyasie Instagram.
Mungu aendelee kuwaponya wasumbukao na kuwapa faraja.
Amen[emoji120]Ndo waafrika tulivyo. Natumain wenye shida watakumbukwa
Yupo kajaa telee, Usalama upoAmen.
Hivi carba yupo? Na usalama wake vipi?
Jambo la kheri.Yupo kajaa telee, Usalama upo