Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511347171071.jpg
 
ATLETICO WANAMTAKA COURTOIS


Atletico Madrid watafanya jitihada kumrejesha Thibaut Courtois klabuni kwao kutoka Chelsea ikiwa Jan Oblak ataondoka, kwa mujibu wa AS .
Mbelgiji huyo amewahi kutumika miaka mitatu kwa mkopo Atletico, akiwasaidia kunyakua taji la La Liga, na bado hajaongeza Darajani Stamford mkataba wake wa sasa ukitarajiwa kufika mwisho 2019.
 
Back
Top Bottom