HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Ni shangwe na vigeregere
PASAFI.
Mtaa wa SAMORA enzi za MKOLONI.
Na kweli ban si nzuri ila kuna uzi watu walikuwa wana badilishana vitabu kuleInaruhusiwa kuweka vitabu hapa. Nisije nikala ban....
Yeye kwani hakuwahi kutembelea mashangingi?Kweli MAISHA hubadilika.
Wenzao watembelea MASHANGINGI na kwa kujiachia
Kwa nini mkuu? Kwa vile tu ni ya karatasi?Shilingi Tano ya KARATASI!
Kumbe Shilingi ilikuwa na THAMANI sana!
Hata nikianzisha wa kwangu basi nao utapelekwa kule kule tu na kuunganishwa. Nitajaribu kuwasiliana nao...Na kweli ban si nzuri ila kuna uzi watu walikuwa wana badilishana vitabu kule
Mkuu habari za masikuMAMBA