Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inaruhusiwa kuweka vitabu hapa. Nisije nikala ban....Shem fungua uzi utupie hivi vitabu,ni wazo tu
Inaruhusiwa kuweka vitabu hapa. Nisije nikala ban....Shem fungua uzi utupie hivi vitabu,ni wazo tu
Myoya huyu jirani wa shemeji au Myoya mwingine?[emoji124] [emoji124] [emoji124]ujue myoya...kapita
Protect me from my friends, my enemies I can handleMugongo kwa mugongo
![]()
Nyuso zenye HUZUNI![]()
Baada ya kuwa mstaafu akiwa na mke wa aliyewahi kuwa Rais.
Fanya wewe ndio GRACE halafu unakutana na Mabango kama hayo!
Mheshimiwa KIKWETE hapo SHAVU DODO
Shilingi Tano ya KARATASI!
Ninachowakubali MABITOZI wa enzi hizo ni kwamba hawakuwa na VITAMBI.
Walicheza VIFUA wazi!
Kweli MAISHA hubadilika.
WAKOLONI wa kumwaga