mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Majukumu wadau lakini wacha tulisogeze
HahahahahaFanya wewe ndio GRACE halafu unakutana na Mabango kama hayo!
Nna hakika huwezi pata Usingizi, na lazima ukonde ghafla.
Yaani unaona wazi Jamii haikuhitaji
Pesa yetu ilikuwa na thamani sawa Na pound ndio maana hata sh 20 ya noti ilikuwa inaitwa poundShilingi Tano ya KARATASI!
Kumbe Shilingi ilikuwa na THAMANI sana!
HahahahaaHakuna KITAMBI hapo.
Safi sana
Acha kabisaKweli MAISHA hubadilika.
Wenzao watembelea MASHANGINGI na kwa kujiachia
Sijui nani katulogaPASAFI.
Mji ulikuwa MSAFI sana.
Sijui kwanini tumeshindwa kujiendeleza na USAFI na kuupangilia MJI baada ya MKOLONI kuachia Ngazi!