Mtaa wa SAMORA enzi za MKOLONI.
Palikuwa PASAFI na pametulia enzi zake.
Ukinyoosha KULIA unaitafuta POSTA Mpya, kuelekea kona ya MAKTABA.
Ukinyoosha KUSHOTO Dakika chache umeshafika POSTA ya Zamani.
Jamani.
POSTA ya Zamani nakumbuka Utotoni tulikuwa tunaenda kuokota KUNGU mitaa ya POSTA ya zamani mpaka Mitaa ya IKULU.
Jamani.
Ukija Mitaa ya INDIRA GHANDI (Mtaa wa INDIA) mpaka HOSPITAL ya HINDU MANDAL, huku nyuma ya HOSPITAL tulikuwa tunaokota MABOMBA ya SINDANO kisha tunavyonza MAJI na yale MABOMBA ya SINDANO ikishajaa MAJI tunaanza kurushiana MAJI kwa BOMBA la SINDANO.
Mbaya zaidi SINDANO zilikuwa zishatumiwa.
Ukiwa Mtoto MUNGU anakulinda na mengi.
Ni Michezo ya Hatari sana.
MAISHA haya