Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hee jaman kila avatar inakutega,ukuje kanisan kwetu uombewe. Misa ya wababa na wakaka tu
Kama vile unaendaga kanisani! Ila kuna avatar ya kabinti haka haka nadhani huko nyuma kidogo ilikuwa inahangaisha watu japo walikuwa wanaugulia kimya kimya kwa kuogopa zali. Kwangu mimi avatar ninayotumia ni hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hako ka avatar bana majanga,watu wanadhan ndo kanumbisa kenyewe. Naendaga bana anglican church ila siku shetan akikaba ndo hivyo tena naishia kula likes tu hapa
 
Ayaaaa nimeonaaaaaaa duh man u imeongeza adui mwingine uwiiiii. Ni recorded hio. Mpira wa leo upo jioni man u vs brighton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…