Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msongo Wa Mawazo: Kupatwa na msongo wa mawazo mara kwa mara kunaongeza uwezekano wa kupata pumu, moja ya sababu ni tabia za mtu anapokuwa na msongo wa mawazo kama vile kuvuta sigara kunakochochewa na msongo wa mawazo. Maelezo ya hapa karibuni yanaonyesha kuwa mfumo wa kinga za mwili hubadilika mtu anapokuwa na msongo wa mawazo.
 
Namna Ya Kutibu Pumu

Pumu ni ugonjwa wa kudumu ambao haujapatiwa dawa ya kuuondoa moja kwa moja. Tunapozungumzia tiba ya pumu
tunamaanisha ushirikiano wa pamoja wa daktari na mgonjwa au na mzazi wa mtoto mgonjwa katika kuudhibiti ugonjwa huu ili:
 
3. Kuyaweka mapafu katika hali nzuri wakati wote
4. Kumwezesha mgonjwa kushiriki katika shughuli za kawaida za kimaisha na kupata usingizi mzuri
5. Kuzuia mgonjwa asibanwe na pumu na kusabibisha tiba za dharura
 
Mgonjwa anahitaji kuwa na mpango mzuri unaoelekeza namna ya kutumia dawa ipasavyo, namna ya kuzuia mgonjwa asikumbane na vitu vinavyochochea pumu (asthma triggers), namna ya kufuatilia jinsi mgonjwa alivyoweza kuudhibiti ugonjwa huu na namna ambavyo mgonjwa atakavyoweza kupata huduma ya dharura endapo atazidiwa.
 
Back
Top Bottom