[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee una matatizo sanaWanajeshi wa Zimbabwe wana nidhamu. Wameshindwa kumbogoyesha Mugabe waje wanibogoyeshe mimi? Whai?
WataonaHalafu wakibondwa watu wanaanza kulalamika eti hakuna demokrasia. Domokrasia gani inayotafutwa hapa?
Teh teh tehJamani tupo humu kama marafiki ambao lengo ni kuleta umoja kati yetu, ila tusileteane mazoea ya kijinga kwakuwa eti tupo kwenye uzi mmoja. Kitu kama hukijui ni vyema uulize sio kuropoka na kujiamulia huku ukiwakwaza wengine. Aliyempa namba yangu Robert Mugabe bila ruhusa yangu ni nani???? Au nia yenu mnigombanishe na Jeshi la Zimbabwe??? Ebu achani ujinga!!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kawaida ya uzi huu siku hizi. Pengine majukumu yamezidi. Wengi tu wanaonekana kwa nadra sana siku hizi humu...
Numbisa,jakitoo na carba sijui wamepotelea wapi!!