Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemejiiii. Tena nina mpango wa kuhamia kule tunakoruhusiwa mpaka wanne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Andjul amka. Unapitwa !!!
We hamia tu,uzuri ni kwamba hadi bi mkubwa aridhie sasa nikiwa mimi kwisha habari yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Unamuita eeeh!subiri aje na vinyimbo vyake hapa uone[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…