carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Tatizo tunajifanya tunajua sana na hatutaki ushauri wala kusikiza maneno yaoWazazi ni muhimu sana hasa akitoa maoni yake kwamba huyu mke\mume hafai inabidi kusikilizwa maana wanaona mbali sana. Nimeshuhudia wengi ila mmoja hapa anateseka kwa kutosikiliza wazazi na wazazi wameshatangulia mbele za haki basi kila siku ni mabalaa pombe sana kuondoa mawazo mateso yote yanarudi kwa watoto waliopatikana enzi za kudanganyana na mwenza wake