Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Cc:andjul ukuje huku,mwanao anaambiwa aache kiherehere cha kutaka chips na smartphoneNa wewe ukiacha kiherehere cha kutaka chips na smart phone itapendeza zaidi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
![]()
Tendeeni wema wazazi wenu mpate kheri dunianiAisee, Mungu anatuona! Ni muhimu sana kuwajali na kuwatunza wazee wetu! Unakuta mtu anapata mafanikio kidogo basi anasahau na alikotoka! Akifika mjini basi hata ile lugha ya kwao aliyokuwa anaiongea kwa ufasaha anajifanya kaisahau!
Acha nipite hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tendeeni wema wazazi wenu mpate kheri duniani
Hii ndo jf na hilo ni gonjwa sugu humuLeo naona kuna delay time ya kama dk tano hivi kupata notifications! Mods namna gani hapa!
Aaagrr!vipo vya ku share ujueSharing is caring ujue! [emoji23][emoji23]
Mimi huwa sipati notifications tangu mwezi wa sita. Nilishazoea !!!Leo naona kuna delay time ya kama dk tano hivi kupata notifications! Mods namna gani hapa!
Ni shida sana mkuu. Halafu unakuta mzazi huyo huyo ndo amekusomesha kwa shida mpaka leo umekuwa mtu wa kula bata bataz I am humbled you know...Aisee, Mungu anatuona! Ni muhimu sana kuwajali na kuwatunza wazee wetu! Unakuta mtu anapata mafanikio kidogo basi anasahau na alikotoka! Akifika mjini basi hata ile lugha ya kwao aliyokuwa anaiongea kwa ufasaha anajifanya kaisahau!
Unanitafutia zali yaani duh!Cc:andjul ukuje huku,mwanao anaambiwa aache kiherehere cha kutaka chips na smartphone
Wazazi ni muhimu sana hasa akitoa maoni yake kwamba huyu mke\mume hafai inabidi kusikilizwa maana wanaona mbali sana. Nimeshuhudia wengi ila mmoja hapa anateseka kwa kutosikiliza wazazi na wazazi wameshatangulia mbele za haki basi kila siku ni mabalaa pombe sana kuondoa mawazo mateso yote yanarudi kwa watoto waliopatikana enzi za kudanganyana na mwenza wakeNi shida sana mkuu. Halafu unakuta mzazi huyo huyo ndo amekusomesha kwa shida mpaka leo umekuwa mtu wa kula bata bataz I am humbled you know...
Ulinifurahisha sana kwa kujua lugha ya wazazi wako Kikerewe na Kisukuma kwa ufasaha pamoja na kwamba u mtoto wa mjini. Ulinamasala gawiza gete ngosha. Kobaga gazungu utole !!!
Tumien browser kama uc browser kwanza inakupa uhuru wa kumwaga magazeti(manotes) bila kutype utakavyoMimi huwa sipati notifications tangu mwezi wa sita. Nilishazoea !!!
Maneno mazito haya. Binadamu sisi ni wanyama tu kama hatuuruhusu ubinadamu wetu kujipambanua na kutandaza mbawa zake hadi kuwagusa wenzetu na kuwafanya nao waruke hata kama walikuwa wameshasahau kama wana mbawa na wana uwezo wa kuruka. Tusijisahau [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]You are someone's inspiration every single morning that you wake up.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
To the person reading this right now, I want you to know that you are amazing. You are loved. You are needed. You are valued. You are a blessing. You inspire people that you don't even know. You impact people who you can't even see or touch. You are someone's inspiration every single morning that you wake up. You are someone's reason to believe in themselves again. You are someone's reason to smile again. You can change someone's life who you haven't even met. You can light a fire under someone to start chasing their dreams. You were born amazing. Don't let another day pass you by without realizing that.
Eeeh!ongeeni kiswahili basi tuelewe khaa![emoji125] [emoji125]Ni shida sana mkuu. Halafu unakuta mzazi huyo huyo ndo amekusomesha kwa shida mpaka leo umekuwa mtu wa kula bata bataz I am humbled you know...
Ulinifurahisha sana kwa kujua lugha ya wazazi wako Kikerewe na Kisukuma kwa ufasaha pamoja na kwamba u mtoto wa mjini. Ulinamasala gawiza gete ngosha. Kobaga gazungu utole !!!
Wengine sababu waliteswa na wadada wa kazi au mama wa kamboWapo mbona. Baadhi ya maserial killers huwa wanaanza kuua wanawake kisa tu walikataliwa huko nyuma....