Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwambie Numbisa au Yego wakutafsrie [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Itabidi nijifunze kisukuma tu au sijui nijifunze kinyakyusa akija andjul tuongee na sisi[emoji23][emoji23]
 
Nimepigiwa simu mchana huu nikaambiwa Daniel amejinyonga, nimeshtuka kwa sababu ni juzi tu tulimtumia nauli ili arudi nyumbani Mwanza baada ya kupata taarifa kuwa amefeli kwa mara nyingine,” alisema Lukuba.
 
Akizungumzia tukio hilo, mwenyekiti wa Mtaa wa Mgeninani, Khuruka Mwinyimvua alisema baada ya kupata taarifa hizo alifika eneo la tukio na kukuta mwili ukiwa umening’inia juu ya mwembe.
 
Kijana huyo alionekana tangu juzi akizunguka mtaani hapa baada kurejea kutoka chuoni anakosoma, alionekana kama mtu asiyekuwa na furaha,” alisema Mwinyimvua na kuongeza: “Hadi sasa mwili umechukuliwa na polisi kwa taratibu nyingine.”
 
Mpwa wa Robert Mugabe anasema kiongozi huyo wa zamani wa Zimbabwe ana raha na afya njema licha ya kulazimishwa kujiuzulu wiki hii baada ya kutawala kwa miaka thelathini na saba
 
Ni shida sana mkuu. Halafu unakuta mzazi huyo huyo ndo amekusomesha kwa shida mpaka leo umekuwa mtu wa kula bata bataz I am humbled you know...

Ulinifurahisha sana kwa kujua lugha ya wazazi wako Kikerewe na Kisukuma kwa ufasaha pamoja na kwamba u mtoto wa mjini. Ulinamasala gawiza gete ngosha. Kobaga gazungu utole !!!

Hahahaa, natole agazungu ango? Bhiya nkoi, natobhaduja abhenabho! Kuna watu wanazaliwa na kukulia mji kama Dar, nakwambia wengine mpaka wanakwenda chuo wazazi wao wala hawajawapeleka kwao! Akili gani sasa hiyo! [emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa alikua ruban wa hizi helkopta alikodishwa na wengi mara JK,CDM na vigogo wengi tu jamaa alikua na hela balaa,pesa nying kazi kula bata hotelin na akina slay queen,akajapata ajali ya hio helkopta mwili kupelekwa kijijn kwao aibu tupu nyumba za kukandika pamechakaa,ndugu zake choka mbaya wakat jamaa uwezo wa kujenga ghorofa hapo alikua nao
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Imtu, Daniel Mabisi (28) anadaiwa kujinyonga kutokana na kufeli mitihani.

Daaa... So sad! He decided to take the easy way out! Siwezi kumsemea mtu mwingine lakini mimi kama mimi, life is good jamani! You can be a janitor and still enjoy life! Mungu amsamehe!
 
Kuna jamaa alikua ruban wa hizi helkopta alikodishwa na wengi mara JK,CDM na vigogo wengi tu jamaa alikua na hela balaa,pesa nying kazi kula bata hotelin na akina slay queen,akajapata ajali ya hio helkopta mwili kupelekwa kijijn kwao aibu tupu nyumba za kukandika pamechakaa,ndugu zake choka mbaya wakat jamaa uwezo wa kujenga ghorofa hapo alikua nao

Hahaaa pamoja na kwamba unakuwa u marehemu lakini hiyo aibu inakufuata mpaka kaburini!
 
Back
Top Bottom