Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo tunajifanya tunajua sana na hatutaki ushauri wala kusikiza maneno yao
 
Tumien browser kama uc browser kwanza inakupa uhuru wa kumwaga magazeti(manotes) bila kutype utakavyo
Browser kwenye hiki kimeo changu kuweka picha ni kizungumkuti. Kwenye app kuweka picha yaani ni kugusa tu. Wewe unaweka hizi tiba kwa kutumia simu. Nilikuwa najua kuwa unatumia kompyuta....
 
Nina kaka wa baba mkubwa alikatazwa asimuoe mwanamke fulani akakaidi weee. Moto uliomuwakia hana hamu aisee halafu wazee wake alikorofishana nao kwenye ishu hii hii yaani jamaa mpaka ameadhirika sana pamoja na kwamba amesoma vizuri tu na alikuwa na vihela vyake. Haya mambo ya wazazi na mila ni magumu aisee...
 
Browser kwenye hiki kimeo changu kuweka picha ni kizungumkuti. Kwenye app kuweka picha yaani ni kugusa tu. Wewe unaweka hizi tiba kwa kutumia simu. Nilikuwa najua kuwa unatumia kompyuta....
Sijawah tumia compyuta au application ya Jf kuingia humu ni simu tu. Uc browser inanirahisishia kazi ya kumwaga tiba na picha.
 
Eeeh!ongeeni kiswahili basi tuelewe khaa![emoji125] [emoji125]
Mwambie Numbisa au Yego wakutafsrie [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Kweli wanaona mbali na kasoro nyingi za mhusika na mwenza wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…