Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itabidi nijifunze kisukuma tu au sijui nijifunze kinyakyusa akija andjul tuongee na sisi[emoji23][emoji23]
 
Akizungumza kwa simu kutoka Morogoro, baba mdogo wa marehemu, Joseph Lukuba alisema amepokea kwa mshtuko taarifa za mtoto wake.
 
Nimepigiwa simu mchana huu nikaambiwa Daniel amejinyonga, nimeshtuka kwa sababu ni juzi tu tulimtumia nauli ili arudi nyumbani Mwanza baada ya kupata taarifa kuwa amefeli kwa mara nyingine,” alisema Lukuba.
 
Akizungumzia tukio hilo, mwenyekiti wa Mtaa wa Mgeninani, Khuruka Mwinyimvua alisema baada ya kupata taarifa hizo alifika eneo la tukio na kukuta mwili ukiwa umening’inia juu ya mwembe.
 
Kijana huyo alionekana tangu juzi akizunguka mtaani hapa baada kurejea kutoka chuoni anakosoma, alionekana kama mtu asiyekuwa na furaha,” alisema Mwinyimvua na kuongeza: “Hadi sasa mwili umechukuliwa na polisi kwa taratibu nyingine.”
 
Naye kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Emmanuel Lukula alithibitisha kupokea taarifa za kujinyonga kwa kijana huyo na kuwaagiza askari walio karibu na maeneo hayo kuchukua mwili huo.
 
Mpwa wa Robert Mugabe anasema kiongozi huyo wa zamani wa Zimbabwe ana raha na afya njema licha ya kulazimishwa kujiuzulu wiki hii baada ya kutawala kwa miaka thelathini na saba
 
Amesema mjombake anatazamia maisha yake ya baada ya uongozi, ambayo yatajumuisha ukulima na kuishi katika nyumba yake mashambani.
 

Hahahaa, natole agazungu ango? Bhiya nkoi, natobhaduja abhenabho! Kuna watu wanazaliwa na kukulia mji kama Dar, nakwambia wengine mpaka wanakwenda chuo wazazi wao wala hawajawapeleka kwao! Akili gani sasa hiyo! [emoji23][emoji23]
 
Hahahaa, natole agazungu ango? Bhiya nkoi, natobhaduja abhenabho! Kuna watu wanazaliwa na kukulia mji kama Dar, nakwambia wengine mpaka wanakwenda chuo wazazi wao wala hawajawapeleka kwao! Akili gani sasa hiyo! [emoji23][emoji23]
Kuna jamaa alikua ruban wa hizi helkopta alikodishwa na wengi mara JK,CDM na vigogo wengi tu jamaa alikua na hela balaa,pesa nying kazi kula bata hotelin na akina slay queen,akajapata ajali ya hio helkopta mwili kupelekwa kijijn kwao aibu tupu nyumba za kukandika pamechakaa,ndugu zake choka mbaya wakat jamaa uwezo wa kujenga ghorofa hapo alikua nao
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Imtu, Daniel Mabisi (28) anadaiwa kujinyonga kutokana na kufeli mitihani.

Daaa... So sad! He decided to take the easy way out! Siwezi kumsemea mtu mwingine lakini mimi kama mimi, life is good jamani! You can be a janitor and still enjoy life! Mungu amsamehe!
 

Hahaaa pamoja na kwamba unakuwa u marehemu lakini hiyo aibu inakufuata mpaka kaburini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…