Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

One month and 2 weeks ago:

Cardi B is the first female rapper to top the Billboard Hot 100 chart without the assistance of any other credited artists in nearly 19 years, as her debut hit "Bodak Yellow (Money Moves)" rises from No. 2 to No. 1 on the latest chart (dated Oct. 7).

 
Hahahahah aiseee watu na mafumbo yao ya maparachichi,ni poa,za asubuhi?
 
Madeni ya kujitakia haya hahaha
 
BARCA WANATAKA KUONDOA WATATU JANUARI


Barcelona itauza wachezaji kadhaa majira ya badiri kabla ya kusajili mtu yeyote, kwa mujibu wa Sport .
Miongoni mwa wachezaji ambao klabu hiyo ipo tayari kuwaruhusu kuondoka ni Aleix Vidal, Andre Gomes, Denis Suarez, Gerard Deulofeu, Arda Turan na Paco Alcacer.
 
AUBAMEYANG ANATAKA KUONDOKA BVB


Pierre-Emerick Aubameyang anataka kuondoka Borussia Dortmund Januari baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na klabu, kwa mujibu wa Bild .
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Gabon alisimamishwa na timu kwa sababu za kinidhamu mapema mwezi Novemba na anaamini hatendewi haki Dortmund. Kwa sababu hiyo sasa, anaangalia uwezekano wa kuondoka klabuni hapo majira ya baridi, BVB wapo tayari kupokea angalau €60m kumruhusu kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…