Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakuona Nakuona. Siku imeendaje?

Unachosema ni kweli. Kuna siku najitahidi kweli kutoingia katika uzi huu lakini wapi. Najikuta tu nshatumbukiamo. Kuna viwasha taa (triggers) vikianza kumulika lazima tu utakuja mwenyewe. Tumekuwa ndugu na marafiki bila kujuana. Na mimi kwako dadangu lazima anipikie ugali siku moja aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…