Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We mzeee wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Hapo sawa,huo ndo uanamke.Usihangaishwe na Shimba.
Hata Yego usimuamini sana" veri simpo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenifurahisha Numbisa, wacha nitulie nije na mada ya U.T.I
U.T.I ni kifupi cha maneno URINARY TRACT INFECTION, na kwa kiswahili ni MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO.

Njia ya mkojo inaanzia kwenye Figo (kidney) ambako ndiko damu inakochujwa na utengenezaji wa mkojo huanzia na njia hiyo huishia kwenye Urethra (Mrija unaotoa mkojo nje ya mwili) ukitokea kwenye kibofu (bladder).

Kwa kifupi njia ya mkojo hujumuisha sehemu zifuatazo, Figo, Ureter, Kibofu cha Mkojo na Urethra.
Safi mkuu. Itakua poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…