Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unasomeka mkuu, twende tu
 
Hatuko siriazi na watu wetu. Yaani mtu unaweza kufa kwa tatizo ambalo linatibika kirahisi tu yaani. Tuna safari ndefu mno wapendwa !!!
Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa. Mwaka jana nilimuokoa mtu kwa gharama ndogo sana,amepelekwa hospital ya wilaya,kwa jinsi alivyokuwa analalamika maumivu ya kichwa dokta akashauri wampeleke Ikonda.
Mwanae akanipigia simu kunijulisha kuwa mama muda wowote anakufa,wamemrudisha nyumbani ili apelekwe Ikonda.Nikamuuliza kama amepimwa,akajibu hajapimwa ila amesema tumuwahishe Ikonda na hatuna hata 100.Ikabidi nitume hela apelekwe maabara apimwe kila kitu wanacho weza kupima.Mungu wa ajabu,akakutwa na typhoid...
Mpaka dakika hii mama wa watu yupo kwenye mashamba ya mpunga huko analima.
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaamn !!!

Mwenye konokono akikataa konokono wake asitoke gambani unamtoa kwa nguvu? Hata bila utelezi? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Utelezi? Konokono anateleza ujue! Au konokono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee una matatizo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…