Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511762045037.jpg
 
Tar 1/12[emoji116][emoji116][emoji116]

Zimesalia siku tatu kwa dunia kuadhimisha siku ya Ukimwi. Dunia inaadhimisha siku hii wakati ambapo inajivunia hatua zilizopigwa katika kukabiliana na maambukizi mapya, lakini pia kuwezesha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi ama ARV's. Kauli mbiu ya siku ya UKIMWI duniani mwaka huu ni "Ongeza mafanikio kupitia uwazi, uwajibikaji na ushirikiano". Watu milioni 36.7 wanaishi na virusi vya UKIMWI duniani kote. Hata hivyo bado ugonjwa huo unasemekana kuwa janga kubwa duniani na watu wanahamasishwa kuendelea kupima na kujua hali zao za kiafya.
 
Back
Top Bottom