Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna mla likes ye yote mwenye angalau kaupako pako hivi tuanzishe kanisa tupige hela? Mimi nitakuwa mhazini...
Aya tumeshamkosa masikini weeeSubiri aje umuulize[emoji23][emoji23]
Unajua nimeona nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzigo wa nini?
Haya majina mengine jamani
Tz hiyo bro kijichi huko watu bwana ...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Is this real? Nilifikiri Congo huko...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo nafasi ya uhazini naiomba mimi pulizii wewe uwe nabiiKuna mla likes ye yote mwenye angalau kaupako pako hivi tuanzishe kanisa tupige hela? Mimi nitakuwa mhazini...
![]()
Weee nitakuja unipimeTar 1/12[emoji116][emoji116][emoji116]
Zimesalia siku tatu kwa dunia kuadhimisha siku ya Ukimwi. Dunia inaadhimisha siku hii wakati ambapo inajivunia hatua zilizopigwa katika kukabiliana na maambukizi mapya, lakini pia kuwezesha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi ama ARV's. Kauli mbiu ya siku ya UKIMWI duniani mwaka huu ni "Ongeza mafanikio kupitia uwazi, uwajibikaji na ushirikiano". Watu milioni 36.7 wanaishi na virusi vya UKIMWI duniani kote. Hata hivyo bado ugonjwa huo unasemekana kuwa janga kubwa duniani na watu wanahamasishwa kuendelea kupima na kujua hali zao za kiafya.
Sioni usiku ujue na miwani imeibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua nimeona nimecheka sana
Sijui mzigo wA nn embu soma kwa sauti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]