Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Njoo tu kipenzi usijali[emoji4][emoji4]Weee nitakuja unipime
Hivi mi najua kusoma kweli nitakuwa sijui mimiSioni usiku ujue na miwani imeibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisomee buana
Hii nchi gani?mana kenya nao wako vizuri kwenye ulonzi siku hizi
[emoji9] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mi najua kusoma kweli nitakuwa sijui mimi
Mimi sina upako. Ndo maana nimeulizia mwenye angalau kaupako pako hivi. Miujiza ya kufufua wafu kama ya Gwajima yaani tutapiga hela balaa!Hiyo nafasi ya uhazini naiomba mimi pulizii wewe uwe nabii
Yeah ni KenyaHii nchi gani?mana kenya nao wako vizuri kwenye ulonzi siku hizi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Njoo tu kipenzi usijali[emoji4][emoji4]
Teh teh tehHiyo nafasi ya uhazini naiomba mimi pulizii wewe uwe nabii