Kigogo wa Pixar Studios naye kachukua leave of absence kisa wanawake kadhaa wameibuka na kudai kuwa amewahi kuwakumbatia kwa kuwabana sana kifuani. Ajabu sasa hata wanaume nao wanasema jamaa ni kawaida yake akikukumbatia ni lazima akubane kifuani haijalishi uko -me au -ke.Matt Lauer ni latest "victim". Big names waliotangulia wamo akina Bill O'Reilly, Charlie Rose na wengineo. Mi nasubiri kuona mwanaume naye akijitokeza na kusema kuwa naye alinyanyaswa na bosi wa kike kwa kushikwa kidevu au mbupu zake nione reaction itakuwaje.
Hata uwe shahidi kesi hiyo hamtashinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matt Lauer ni latest "victim". Big names waliotangulia wamo akina Bill O'Reilly, Charlie Rose na wengineo. Mi nasubiri kuona mwanaume naye akijitokeza na kusema kuwa naye alinyanyaswa na bosi wa kike kwa kushikwa kidevu au mbupu zake nione reaction itakuwaje.
Hata uwe shahidi kesi hiyo hamtashinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazima, za kwakoWandugu wazima humu?
Muungwana AndjulMzee wa fitna moudgulf