Inawezekana wachezaji huwa hawaandaliwi vizuri kwa ajili ya mechi za aina hii. Mfano kwenye mechi yetu dhidi ya Lipuli, tulianza vizuri kipindi cha kwanza lakini baada ya kupata bao, wachezaji walionyesha kuridhika na mwisho wa siku tumeshindwa kuibuka na ushindi," alisema kocha huyo.