myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani
Duh!Moshi. Mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Sokoine, Wilaya ya Moshi ameshambuliwa na vijana wawili baada ya kumfungia kwenye mti na kumpa kipigo hali iliyomsababishia kupata majeraha mwilini.