Safi mkuu.Kuna muda nilikaona huku...ngoja niingie mitaa fulani nimtafute![]()
Nzuri yego za leo? Kesho epielo lazima man u ilete kichekoNumbisa, habari ya wewe? Mzee wa Twambombo, andjul mambo niaje bana! Jamani mmemuona carbamazepine humu leo, limoyo langu linadunda kweli, sijamuona kabisa leo! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Nzuri yego za leo? Kesho epielo lazima man u ilete kicheko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio bana.Sana sana labda IringaHahaa... Wewe ni chiboko! Kama kako mitaa ya Nansio basi kheri! Ila hisia zangu zinaniambia inawezekana kako mitaa ya Uyole! [emoji23][emoji23][emoji23]