Safi mkuu.Kuna muda nilikaona huku...ngoja niingie mitaa fulani nimtafuteNumbisa, habari ya wewe? Mzee wa Twambombo, andjul mambo niaje bana! Jamani mmemuona carbamazepine humu leo, limoyo langu linadunda kweli, sijamuona kabisa leo! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]