Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tukiachana maswala ya mikopo katika mataasisi ya kifedha wapo baadhi ya watu ni wakopaji wazuri kwa watu wengine kama vile nguo, viatu na pesa. Usiwe na madeni ambayo yamezidi kwa kiwango kikubwa kwani kuwa na madeni kwa kiasi kikubwa yanakurudisha nyuma kwa namna moja au nyingine.
Ndo mana msipokuwepo humu huwa nakonda,tangu jana nishapoteza kilo 7 na mtu mwenyewe niko na kilo20...
Kwema bageshi?
Habari yako shemeji
Shemeji [emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana kayego kalikutafuta mbaya,nikajenga hofu kuwa huenda jamekuficha samuwea....wacha nianze kuzurura kukutafutaNdo mana msipokuwepo humu huwa nakonda,tangu jana nishapoteza kilo 7 na mtu mwenyewe niko na kilo20...
Nawasalimu vipenzi vya mimi,ha wa yuuuni
Jana mbona nilikuwepo humu sema sikukaaShemeji [emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana kayego kalikutafuta mbaya,nikajenga hofu kuwa huenda jamekuficha samuwea....wacha nianze kuzurura kukutafuta
Kayego ulikutana nako?Jana mbona nilikuwepo humu sema sikukaa
Kwema lakin?
Sikukaona kabisa janaKayego ulikutana nako?
Achana nako.Sikukaona kabisa jana
Salama tu,habari ya familiaAchana nako.
Haya niambie mama
Huku salama mkuu. Mwakaleli huko kumekuchaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Habari yako shemeji
Safi kabisa,jumamosi inakwendaje?Salama tu,habari ya familia
Mimi sijambo. Kushakucha. Huko vipi? Tumshukuru Mungu.Ndo mana msipokuwepo humu huwa nakonda,tangu jana nishapoteza kilo 7 na mtu mwenyewe niko na kilo20...
Nawasalimu vipenzi vya mimi,ha wa yuuuni