Debby Christine
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 300
- 307
Hahaaa, nadhani imekaa poa ila zile za kutunzwa jukwaani kama Anton lusekelo (5 kwa 5) zile nitakuwa nazicontrol mwenyewe..Wewe ni mtabiri mzuri. Nitafute tufungue kanisa. We unawatabiria waumini mi nashughulikia mambo ya zaka na sadaka. Unasemaje?
Lawafaa wavuta sigara aina ya nyota na konyagi.
Yaani utaishi Kwa mashaka makubwa hasa ukiwa safarini ama kazini.
Teh teh teh utani tu huu isiwe tabu kwa wenye nayo wakaanza kuyahoji.
Mume wa hili alibwaga manyanga akalitandika talaka. Lilianza kupiga picha zile pendwa na kuingiza mkwanja safi, baadaye likapewa ulaji na watu wa Guinness Book of Records kuwa eti ndo linamiliki msambwanda mkubwa duniani kwa kulinganisha na ratio ya kiuno. Basi jamaa wakalichangamkia wakaanza kulirarua laivu. Kuja kuulizwa mahakamani linadai eti jamaa alikuwa hajiwezi kitandani japo tayari walikuwa wameshazaa watoto nadhani wanne.Hapo ni kaazi kweli kweli.
mafindofindo
Hapana Mchungaji. Hela zote lazima zipite kwa mhazini. Nitakuwa nakugawia fungu lako (60%) bila kukupunja. Na ili kupunguza gharama napendekeza tusiwe na majengo ya kudumu. Tunaweza kuwa na liuwanja tu peupe kama anavyofanya Gwajima tunaweka maturubai tu inatosha.Hahaaa, nadhani imekaa poa ila zile za kutunzwa jukwaani kama Anton lusekelo (5 kwa 5) zile nitakuwa nazicontrol mwenyewe..