Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Biashara nzuri sana hasa ukiwa mjini,Hapana Mchungaji. Hela zote lazima zipite kwa mhazini. Nitakuwa nakugawia fungu lako (60%) bila kukupunja. Na ili kupunguza gharama napendekeza tusiwe na majengo ya kudumu. Tunaweza kuwa na liuwanja tu peupe kama anavyofanya Gwajima tunaweka maturubai tu inatosha.
Namkubali Miguna wa Miguna..
Maswali mengine hayana majibu.....Vikao vya ukoo vinapoanza kufanyikia kichwani, ni dalili nzuri au mbaya?
[emoji101]Maswali mengine hayana majibu.....
Mzee gani huyo?Ukirudi nishtue,ila kwa ho chi minh upo. Twende tukamtembelee mzee yule