Ungemfikishia ujumbe huu kwenye page yake ya instagram ingependeza zaidi. Umeuficha huku sina uhakika kama utamfikia....bashite ananikumbusha "Maria antonite"wa ufaransa alikuwa na nyodo balaa "if u can't afford bread buy cake"French revolution ikamuadabisha, grace Mugabe nae nyodoooo mis use of national funds yuko wapi sasa
bshite ur the next kitakachokupata itakuwa fundisho endelea na mbwembwe zako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani swali lilikuwa langu?Nilikuwa nasali usilione hili swali. Nataka kuhudhuria baadhi ya vikao....
Atakufa akitetea heshima ya ukoo...Atakufwa kishujaaa.....
vibaraka wake wamejaa uku watamfikishiaUngemfikishia ujumbe huu kwenye page yake ya instagram ingependeza zaidi. Umeuficha huku sina uhakika kama utamfikia....
Hata mlevi kuna pombe huwa haziwezi ....Kama ugali wenye mabuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie si mnapenda "wo wo wo"
Mmoja anayeangaliwa hapo ana pesa na mwingine ni kapuku. Wanawake Mola Anawaona !!!
Za kupotea? Na Alfonso wako mkaondoka mazima...
Lilikuwa langu shemeji. Kikao kijacho lini? Naruhusiwa kuhudhuria?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani swali lilikuwa langu?
Kikao kijacho....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tupo banaZa kupotea? Na Alfonso wako mkaondoka mazima...
Nenda jukwaa la siasa mkuu. Tukitaka mambo kama haya huwa tunaenda huko tunatoa povu halafu tunarudi huku kwenye upendo na burudani za kila aina.vibaraka wake wamejaa uku watamfikishia
Hapo bila shaka umefurahiiii kwa sababu naona Arsenal wameelemewa kweli kweli. Afadhali hata sikubeti likes zile aisee !!!26' United's tactical set-up has kept Alexis Sanchez quelled thus far, with Lindelof keeping right on the toes of the Chilean.
24' Not a surprise to see Manchester United sitting back, they have no reason to attack and leave themselves exposed. This game has gone better than Mourinho could have ever dreamed.
Next month[emoji38][emoji38][emoji38]utakuwepo eeh??Lilikuwa langu shemeji. Kikao kijacho lini? Naruhusiwa kuhudhuria?