Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0455f28ac10e1553f0c94019c2776f50.jpg
Haka ka dada kana lips.....
 
bashite ananikumbusha "Maria antonite"wa ufaransa alikuwa na nyodo balaa "if u can't afford bread buy cake"French revolution ikamuadabisha, grace Mugabe nae nyodoooo mis use of national funds yuko wapi sasa
bshite ur the next kitakachokupata itakuwa fundisho endelea na mbwembwe zako tu
 
Jumba kama hili mpaka ujue weakness yake kwenye foundation kabisa. Vinginevyo unaweza kuRIP ukipambana kulinda heshima ya ukoo....

"Ukoo wa akina Mwakitombile huwa hatushindwi kitu" wakati pumzi ishakata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marehemu kafa kifo cha kishujaa
Au tutasema ajali kazini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
bashite ananikumbusha "Maria antonite"wa ufaransa alikuwa na nyodo balaa "if u can't afford bread buy cake"French revolution ikamuadabisha, grace Mugabe nae nyodoooo mis use of national funds yuko wapi sasa
bshite ur the next kitakachokupata itakuwa fundisho endelea na mbwembwe zako tu
Huku siasa sidhani kama inahitajika sana,
Kuna jukwaa ambalo wengi tulipakimbia na kuwa sehemu salama hii ndo maana jukwaa linakimbia 240kph.
 
Back
Top Bottom