Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
HILI LIUZI mkuu ni shida. Litafika mwisho siku JF ikifika mwisho. Anaza kwesheni.Naulizaaa hiviiiiiii…. HILI LI UZI, mwisho Wake ni lini?
Ukuhama nalo limefika mwisho.Naulizaaa hiviiiiiii…. HILI LI UZI, mwisho Wake ni lini?
Mabunyebunye baba utafikiri uji uliogoma kuiva.mafindofindo
% kubwa ya makombora hayo yana matatizo sana,Mume wa hili alibwaga manyanga akalitandika talaka. Lilianza kupiga picha zile pendwa na kuingiza mkwanja safi, baadaye likapewa ulaji na watu wa Guinness Book of Records kuwa eti ndo linamiliki msambwanda mkubwa duniani kwa kulinganisha na ratio ya kiuno. Basi jamaa wakalichangamkia wakaanza kulirarua laivu. Kuja kuulizwa mahakamani linadai eti jamaa alikuwa hajiwezi kitandani japo tayari walikuwa wameshazaa watoto nadhani wanne.
Nawe ukiacha kiherehere cha chips na smart phone itapendeza zaidi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️