Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi jirani unanini lakini?[emoji23][emoji23][emoji23]mbona fujo hivi?Jirani ukienda uani unachelewa kurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kuitisha vikao vya ukoo?una agenda gani?Aisee! Ni nani anayependekeza hizo ajenda? Naweza kuleta za kwangu? Utazifikisha? Zitakubaliwa?
Njaa jirani...hujamboHivi jirani unanini lakini?[emoji23][emoji23][emoji23]mbona fujo hivi?