mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari za Jumapili uko poaKwa mbali nakuona mkoromije unanyata[emoji3] [emoji3] salaam mkuu
Tupo hapa mkuu gonga likesMko wapi?
Baridi kaliJua kali
Alisema atauza majengo yote ya serikali DarHivi ikulu yetu iko umbali wa mita ngap kutoka fukwe au nayo itahamia dom
Mkuu salama kabisa Jumapili inasemajeMkuu salaam
Sasa mhazini. Mbona hujanipa report ya mapato ya sadaka zetu leoHapana Mchungaji. Hela zote lazima zipite kwa mhazini. Nitakuwa nakugawia fungu lako (60%) bila kukupunja. Na ili kupunguza gharama napendekeza tusiwe na majengo ya kudumu. Tunaweza kuwa na liuwanja tu peupe kama anavyofanya Gwajima tunaweka maturubai tu inatosha.
Asante Numbisa naona timu yangu inakuja vizuri kidogo kidogoHahahahaa jaman wenye wivu utawajua tu. Ushindi wa ndani ya dakika nne wasema wa tabu. Hongera nawe ka 5G
Siku iko kati katiSiku inaelekea ukingoni
Wa maendeleoJuhudi ndio msingi
13:3500:00
Upendo wa JumapiliAmani ya jumapili
Amani ya JumapiliUpendo wa jumapili
AMUN RAMungu atupe mema kwenye mapumziko yetu
YapUzi maalum kwa watu maalum..