Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa kalala kwenye kitanda cha dabo deka halaf ile siti ya juu kulikua na binti kalala huko

Kati kati ya usiku jamaa kapanda kule juu kwa binti taratiiiibu, ile kumgusa tu binti akashtuka na kuuliza, umefata nini huku

Jamaa akajibu nimedondoka
 
Kuna watu wa aina 5 ni vigumu kuwashauri

Mwanamke aliependa

Mwanaume mwenye hela

Mfuasi wa gwajima

Mwanachama wa ccm

Washambiki wa arsenal

Ukimaindi njoo unipige
 
Nilienda kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini
 
Zuzu kaua watu 50 kwa kuwagonga barabarani. Cheki alivyokuwa akihojiwa na trafiki:-

Traffic: Imekuaje ukaua watu wote hawa?
Zuzu: Nilikuwa spidi ghafla
nikaona watu wengi kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyaje?
Traffic: Ningemgonga yule mmoja ili kuokoa maisha ya watu wengi
Zuzu: Hivyo ndivyo nilivyokusudia lakini nilipotaka kumgonga yule
mmoja akakimbilia kwa watu
wengi akadhani sijamwona
nikamfuata huko huko!!
 
UTATA NI NINI.?utata ni pale mnapokua mmekaa na MKWEO mpo WAWILI TU..afu AKAJAMBA.!sasa kwa kumuondelea aibu mkweo inabidi useme "MIONGONI MWETU KUNA MTU KAJAMBA"
 
UTATA NI NINI.?utata ni pale mnapokua mmekaa na MKWEO mpo WAWILI TU..afu AKAJAMBA.!sasa kwa kumuondelea aibu mkweo inabidi useme "MIONGONI MWETU KUNA MTU KAJAMBA"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
 
Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:
ndege ile itakua imembeba raisi.

♧Chizi mwenzie akajibu:
hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha utani nitakutumia jero ya bundle
 
Mwalimu wa kike aliwataka wanafunzi watunge sentensi kwa kuhusisha neno Stress.
Paul: kufilisika kunachangia stress
Felister: Stress zimechangia vijana wengi kujihusisha na ulevi
Zuzu: Jana jioni nilikuona Mistress ukiwa na mwalimu wa taaluma mkikumbatiana huku mnanyona ndimi ofisini kwa mwalimu wa taaluma
 
Baba alitaka kumuonesha mtoto wake madhara ya kutumia konyagi, akachukua minyoo wa wawili na kuwaweka ndani ya chupa yenye konyagi, wale minyoo wakafa. Akamuuliza mtoto wake, umejifunza nini?
Kijana: Tukitaka tusiwe na minyoo tunatakiwa tunywe konyagi kwa wingi.
 
Nilienda kwa mganga wa jadi, baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini
 
Huyu hauzwi hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…