Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Full magego yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 643870ubishi mwingine tutakuja upoa maiti za watoto wetu kwenye haya maghorofa ya bei ya chini
Subiri akikusikia...Kichwa kichafu alipigwa mvua tatu mkoani Manyara.
Hili sio la kufurahia walimwambia mapema hakuna ghorofa 4 ya million 500 sasa matokeo yake ndio hayo PhD ya maganda ya korosho Na ujenzi wapi Na wapiPaap hosteli zote zinaporomoka. Kuna watu mtafanya sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo sasa?Hili sio la kufurahia walimwambia mapema hakuna ghorofa 4 ya million 500 sasa matokeo yake ndio hayo PhD ya maganda ya korosho Na ujenzi wapi Na wapi
TBA watu wake kabisa wa karibu sasa aibu hii sijui wataificha wapiWajenzi walikuwa Wachina ama?
HahahahahaFull magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyeamru huo ujenzi pamoja na wakandarasi wake...The buck stops here !!!Sijui nani wa kumlaumu
Wanasheria wanajua kosa lake. Watarekebisha bila shaka au unafikiri watayabomoa yote? Au watayaacha tu yaporomoke menyewe?TBA watu wake kabisa wa karibu sasa aibu hii sijui wataificha wapi
Dogo aliyepiga hizo picha amekamatwa sasa sijui charge yake ni nini
Mzee hapa hakuna atayefungua mdomo mkuu wa kaya mwenyewe ndiye aliyongoza hii issue alisema watu wanapiga diliAliyeamru huo ujenzi pamoja na wakandarasi wake...The buck stops here !!!
Mkuu ni mapema sana kujua kitakachoendelea hapoWanasheria wanajua kosa lake. Watarekebisha bila shaka au unafikiri watayabomoa yote? Au watayaacha tu yaporomoke menyewe?