Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee hapa hakuna atayefungua mdomo mkuu wa kaya mwenyewe ndiye aliyongoza hii issue alisema watu wanapiga dili
Sasa mwaka haujaisha majanga yake ndio hayo
Lazima mtu abebeshwe mzigo. Mkuu wa kaya kwani haku-delegate maelekezo yake? Huyo aliyempa usimamizi pamoja na wakandarasi ndiyo wataubeba msalaba. Wakandarasi wangekataa kwa hoja za kitaalamu kuwa ujenzi usingewezekana ingekuwaje? Wewe utakubali kujenga jengo huku unajua kuwa litaporomoka hata kama umeamriwa? Daktari mwadilifu atakubali kufanya operesheni ambayo anajua kuwa mgonjwa atakufa hata kama ameamriwa na wakubwa zake?

Mifumo yote mibovu yaani hakuna hata pa kuanzia.

Wapinzani orodhesheni yote haya mje myatumie kumwondolea madarakani 2020. Miaka miwili tu bado...
 
Hapa Kazi Na ndio mzee movie za bandarini kila Siku Leo Rais kesho Waziri Mkuu Mara Leo Waziri wa utalii yaani full maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…