Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanaharakatiiii.....Huu ndio mfano wa Rais afrika kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huko aliko anapanga mashambulizi
Kupigania usawa wapi bhana,me sijawahi beba hayo mabango.Lakini nyie si mnapigania usawa wa kijinsia?
SHIMBA YA BUYENZE waitwa huku.....I don't want a lot for Christmas
There is just one thing I need
I don't care about the presents
Underneath the Christmas tree
I just want you for my own
More than you could ever know
Make my wish come true
All I want for Christmas is you[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Mariah Carey
Aaaaaa wapi. Kisingizio tu. Si unakuwa na mtu wako haijalishi hata kama mnaishi miji tofauti, mwenzi wa kukusikiliza, kukushauri na kukurenga kila inapobidi (Oooops! Hii ni kinyume cha maadili ya jamii na dini!). Au upweke wa kike unatofautiana na ule wa kiume?Upweke shemeji....
Uonevu plusDAR: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Kumbusho Dawson ambaye alitoa taarifa kuhusu Hosteli kuwa na nyufa amekamatwa na Polisi - Kijana huyo amepelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano
Duh! Krismasi jamani si ni ya kuzaliwa kwa Mwokozi Wetu Yesu Kristu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️I don't want a lot for Christmas
There is just one thing I need
I don't care about the presents
Underneath the Christmas tree
I just want you for my own
More than you could ever know
Make my wish come true
All I want for Christmas is you[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Mariah Carey
Krismasi sikosi kwa bebi wangu...SHIMBA YA BUYENZE waitwa huku.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini ujumbe umefika[emoji6] [emoji6] [emoji6]Duh! Krismasi jamani si ni ya kuzaliwa kwa Mwokozi Wetu Yesu Kristu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pambana shemeji mpeleke bebito akafurahi huko....Krismasi sikosi kwa bebi wangu...
Visiwa vya Seychelles vinamhusu !!!