Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
VYAKULA GANI NI MUHIMU SANA KUTUMIWA NA WAJAWAZITO?
Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. kwa kawaida mahitaji ya chakula na virutubisho mwilini mwa mwanamke huongezeka wakati wa ujauzito na kadri ujauzito unavyoendelea kukua,