[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Marhabaaa... Nilikuwa nimelala,ahsante kwa salaam[emoji120] [emoji120]Hahahaha shikamoo mjomba andjul
Hahahahaa shikamoo inakata stimu flan hivi,huwa nacheza nayo huku nilipo hahahaLeo naona unagawa shikamoo ka njugu. Nami naomba ya kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mimi hukaa chini naanza kuimagine wanaume tungekua tunabehave kama jogoo wanawake hamungewai kua na time ya kupata curves. [emoji23][emoji23]Ile mbio Vera sidika angekua anapelekwa apo CBD izo haga zake hazingekua saa hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Marhabaaa... Nilikuwa nimelala,ahsante kwa salaam[emoji120] [emoji120]
Marahabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!Hahahahaa shikamoo inakata stimu flan hivi,huwa nacheza nayo huku nilipo hahaha
Shikamoo shimba
Kiswahili chao kinaniachaga hoi !!!Hahahahaha wakenya bana
Shikamoo yako imenisisimua. Haya,endelea kupiga stori na mkoromije mwenzio.Usiku mwema[emoji120] [emoji120] kwenuHahahaha nani kakuamsha?
Kiswahili chao kinaniachaga hoi !!!
Hahahaha usiku mwema pia,utuoteShikamoo yako imenisisimua. Haya,endelea kupiga stori na mkoromije mwenzio.Usiku mwema[emoji120] [emoji120] kwenu
Hata mimi nalog off muda si mrefu. Mungu Atulaze na kutuamsha salama kesho [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Shikamoo yako imenisisimua. Haya,endelea kupiga stori na mkoromije mwenzio.Usiku mwema[emoji120] [emoji120] kwenu