Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

45a61ce2629bd000c46a3ebeff19c8f2.jpg
53879e2a43849d991e75e52994f357e9.jpg
 
, iwapo hewa tunayovuta si chafu, maeneo tunayofanyia kazi ni salama na pia nyumba tunazoishi, basi afya zetu huwa salama zaidi ikilinganishwa na watu wanaoishi kwenye maeneo yasiyo na maji safi na salama au kuvuta hewa chafu na kufanya kazi kwenye mazingira ya hatari.
 
Afya ya binadamu pia huweza kuathiriwa na watu wanaomzunguka. Iwapo una familia unayoiangalia au marafiki katika jamii yako, basi una nafasi kubwa ya kuimarisha afya yako kuliko mtu ambaye anaishi pekee au hana familia na marafiki
 
Uchunguzi uliofanywa na chuo kikuu cha Washington nchini Marekani umegundua kuwa, ushirikiano wa kifamilia ni jambo zuri kwa mtu na hupunguza kesi za atu kujiua, hasa wale wanaopatwa na matatizo ya mfadhaiko wa kifikra au wanapokuwa na fikra ya kutaka kujiua.
 
Back
Top Bottom